Skip to main content
Visheti vya Nazi bila Sukari nje / Coconut Visheti Without Sugar Outside
MAHITAJI /INGREDIENT
- Unga wa ngano ¼ ( ¼ Wheat Flour )
- Nazi kikombe 1 ( 1 Cup of Coconut)
- Sukari vijiko 2 ( 2 Spoons of Sugar)
- Hiriki ¼ kijiko
- Mafuta ya kupikia ( Cooking Oil)
- Vanillah ¼ kijiko
JINSI YA KUPIKA/ HOW TO COOK
- Chekecha unga wako,
- kisha uweke kwenye chombo cha kukandia,
- Weka vijiko 2 vya sukari,
- kisha changanya vizur.
- Tia hiriki yako na vanilla,
- kisha endelea kuchanganya.
- Mchanganyiko wako ukiwa umechangamana weka tui lako la nazi,
- kisha changanya vizur.
- Funika unga wako kwa kitambaa safi na uuache kwa mda wa nusu saa.
- Kisha kata vidonge vidogo vidogo sana
- unaweza kutumia vitu tofauti tofauti kutengenezea shape za visheti vyako,
- Kaanga kwa moto mdogo mdogo ili visiungue na upate rangi ya brown.
Comments
Post a Comment