Bagia za unga wa dengu


Mahitaji / Ingredients

  1. Unga wa dengu vikombe 4
  2. Amira
  3. Baking powder ¼ kijiko
  4. Chumvi ¼ kijiko
  5. Maji ya kawaida kikombe 1¼
  6. Kitunguu maji
  7. Hoho
  8. Carrot
  9. Dania

Jinsi ya kupika / How to cook


  • Chekecha unga wako
  •  kisha uweke kwenye chombo cha kupikia na utie amira na bakingpowder.
  • Kisha katia viungo vyako vyote na uweke chumvi alaf uchanganye.
  • Tia maji kidogo kidogo mpaka upate mchanganyiko mzito kiasi. 
  • Kisha funika unga wako na uuache kwa dakika 15.
  • Weka mafuta kwenye kikaangio chako hakikisha ni mengi na yakipata moto chota unga wako kwa mkono na uweke kwenye mafuta 
 NOTE. Pika kwa moto mdogo mdogo ili bagia ziive hadi ndani na zisibabuke

Comments