Skip to main content
Chapati za Nyama ya Kusaga
Mahitaji/ Ingedients
- Nyama ya kusaga ¼
- Unga wa ngano ½
- Mayai 2
- Maziwa ya unga vijiko vinne
- Chumvi
- Sukari
- Mafuta ya kula
- Dania/ girigiriani
- Curry powder
- Kitunguu maji
- Carrot
- Hoho
- Pilipili manga
- Nyanya ya madonge
- Tomato paste
- Chumvi
- Royco
- Garam masala
- Manjano
Jinsi ya kupika/ How to cook
- Tunaanza na kukanda unga wetu
- Weka unga wako kwenye sufuria au kibeseni kidogo
- Kisha tia chumvi kiasi chako na sukari kidogo kwaajili ya ladha (changanya vizur)
- weka vijiko 4 vya maziwa ya unga (sio lazima) ila mimi napendelea kwaajili ya kuleta ladha (changanya vizuri)
- weka mayai mawili alaf uchanganye mchanganyiko wako
- Weka mafuta ya kula vijiko viwili uendelee kuchanganya
- Tia maji kiasi kwaajili ya kuchanganyia mchanganyiko wako.
- unga usiwe mlaini sana au mgumu sana maana chapati ni za kurasa
Nimependa sana unaelekeza vizuri sana..ahsante
ReplyDeleteNimependa sana unaelekeza vizuri sana..ahsante
ReplyDelete